Juma Khassim Nature (@sir_nature) [similar]

Official Juma Nature Account On Instagram Da legendar musician in east africa/boy scout. https://youtu.be/wG3CfUmNfQQ

Juma Khassim Nature (@sir_nature)

Niko na mwenyekiti wawazazi wa wilaya tmk big rama tunayajenga.

Juma Khassim Nature (@sir_nature)

Poleni wanangu makamanda kwamsiba uliotukuta ila yote yamungu msikate tamaa kwenye mapambano ya amani.poleni nandugu zetu wafiwa na watanzania wenzangu kwamajonzi tuliopata inshaalah.sammar_tx

Juma Khassim Nature (@sir_nature)

Tukumbushane jamani.tuseme inshaalah ndg zng.

Juma Khassim Nature (@sir_nature)

Asante rais kwa msamaa kwandg zetu kuwaachia huru mungu akuzidishie umri hekima na busara pamoja namafanikio mema.tuseme inshaalah.

Juma Khassim Nature (@sir_nature)

Kusini mji Andae...

Juma Khassim Nature (@sir_nature)

Bongo kamambele nauzunika watu wanaokuja uwanjawataifa wanajisaidia nahawafanyi usafi utundo wanaubakisha. Tunaharibu uwanja Wetu tujirekebishe mnaodharau.

Juma Khassim Nature (@sir_nature)

survival of da fightness

Juma Khassim Nature (@sir_nature)

Rip DJ Rico mungu alaze roho yako Pema peponi amen

Juma Khassim Nature (@sir_nature)

Rip my blood. Mbele yako nyuma yetu mungu akulazemahalipema pepote. Amin.

Juma Khassim Nature (@sir_nature)

Nyumbani ni nyumbani hatakamakichakani.

Juma Khassim Nature (@sir_nature)

Zilipendwa ndosisi wazee watuwazima
More...