cutelooks (@cutelooksdar) [similar]

Make up � Braiding & Hair Styling� Nails We are at Kinondoni Makaburini close to Usalama / SDA church ☎️+255752903696/ +255673903696

cutelooks (@cutelooksdar)

Watu 50 wa kwanza kushiriki nasi kusambaza ujumbe wakupima saratani ya mlango wa kizazi kwa kupaka rangi na ku post insta with hashtags #cutelooksdar #smear2save #myafyapal watapewa punguzo la shilling elfu 5000

cutelooks (@cutelooksdar)

Tunawaita ladies kusimama wima ili kuhakikisha wanawake wanakwenda kuchunguzwa. Eneza habari kwa kuwa na muoekano tofauti wa rangi yako ya kucha. Fuata steps: 1) paka rangi kucha, design ya Smear2Save – tunashauri kwenda saloon zinazoshiriki kwenye kampeni hii ili upate maelezo ya ziada na pia wamejiandaa na design kabambe; 2) post picha ya kucha zako kwenye kurasa yako IG na FB yako; 3) usisahau kuiweka #Smear2Save. Wanawake wa kwanza 50 watakaopost kenye #Smear2Save watapewa 5000/= kuchangia gharama ya upakaji rangi. @lavy_products @therubspatz @cutelooksdar @merrylighttophair @nailenvy_tz @memmynailz @getcoatednailbar @lemonspa @coolhair_nail_art
More...