kazizairenepaul (@irenepaul001) [similar]

Iam that natural woman,who believes in her own natural beauty,NA2RALISTA*

kazizairenepaul (@irenepaul001)

USIKUBALI KUSUKWA NYWELE NA MTU KUVUTA MALAIKA ZAKO,hudhoofisha na kukata nywele zako za mbele,Hakuna nywele inayokula gharama nyingi kama NATURAL HAIR,kwa hiyo invest in urself badala ya kuwekeza sanaaa katika Zile za bandia,kila chenye matunzo huwa na shukrani,JIPENDE JITUNZE BILA KUJIHARIBU MWENYEWE☺️

kazizairenepaul (@irenepaul001)

2017 Wengi wanatembea na neno la kinabii ya kwamba KESI YAO NI YA TOFAUTI(My case is different),kataa kuridhika na wengi au mkumbo,nenda mbele za Mungu muambie KESI YAKO NI YA DHARURA(my case is an emergency),mwambie wenye utofauti ni wengi wanaweza subiri ila wewe ni ya haraka zaidi ya wote na akupe kipaumbele#HEISOURGOD#HELISTENS#HEANSWERS# goodnight. @auntzubby I see your emergency☺️WE LOVE U.

kazizairenepaul (@irenepaul001)

Sio kila anaewahi ndie anaepata bora sana kuliko aliechelewa,in fact they say the one who laughs last laughs the best...yaani wa mwisho aweza pata kizuri zaidi ya alieanza,katika upokeaji wa baraka usijifananishe WAKATI ULIOPEWA NDIO WAKATI WAKO SAHIHI#πŸ˜†

kazizairenepaul (@irenepaul001)

Mungu ameshika file la kesi yako ,look at me leo hii na mimi nina kicheko changu Alhamdulilah☺️I was the sarai/Sarah type of a woman to some people mpaka pale alie na mamlaka alipoingilia kati....KICHEKO CHAKO KIKO NJIANI INSHALLAHπŸ™πŸ™

kazizairenepaul (@irenepaul001)

Eti umefumaniwa na mume/mke wa mtu na mwenyewe karudia mwandani wake WEWE NDO UNAJIFANYA MOYO SUKUMA DAMU SI VINGINEπŸ˜‚πŸ˜‚are u serious?Kwani huo moyo mara ya kwanza ulikuwa unasukuma nini GUTA AU?πŸ˜†πŸ˜†heri uuambie usukume KENTA ndo zito damu nyepesi aaaah hizi nyimbo bwana zinatupa machungu na si mengine#@lameckditto IAM A FAN😊

kazizairenepaul (@irenepaul001)

Kupinda si kuvunjika✌️ @zamaradimketema BFF❀️elastictypeπŸ˜‚

kazizairenepaul (@irenepaul001)

BADO DAKIKA CHACHE HUBA IANZE#DSTV CHANNEL 160#@dstvtanzania
Mzee Fuli anajionyesha kwa Kashaulo na Sidi anawakuta wakizungumza, Tesa anamuomba msamaha Dev na kumtuma Chidi kumfuatilia Kahaulo nyumbani kwake.
Dstv LEO SAA MOJA NA NUSU# CHANNEL 160πŸ˜‰

kazizairenepaul (@irenepaul001)

Kirikuu yangu hiyo hapo nyuma IKO SOKONI,ni automatic,haina tatizo lolote,namba ni DHH haijawahi kufanya kazi nzito yoyote,ilikuwa ya biashara ila TUmebadilisha mawazo,bei mwisho 8M (wenye povu ntawatakatisha)kwa mawasiliano DM ME☺️

kazizairenepaul (@irenepaul001)

Namwogopa Mungu Pekee☝️LIMITED FEAR.

kazizairenepaul (@irenepaul001)

Baby naturalista☺️ Atakuwa mfano kwa watoto wengine ambao wangewezeshwa na wazazi wangependa kusuka na kuchana nywele asili☺️WENDO-ISABEL

kazizairenepaul (@irenepaul001)

Naturalista in the making☺️wale wenye JUHUDI na nywele zao za asili ni heri wazidishe maana hiki chuma kimekazaπŸ˜‰wendo-isabel#wendobel#belle#bella#beautiful☺️

kazizairenepaul (@irenepaul001)

Damu haiwezi fanya kazi ya maji na Maji hawezi fanya kazi ya damu kwa mwanadamu na vyote ni muhimu sana kwakeπŸ˜‚la maana kila kimoja kibaki katika nafasi yake maana vikibadilishwa hakuna kiwezacho kufanya kazi ya mwingine# FORGET ABOUT ALL THE OTHER TYPES OF WATER,BRANDS MATTERSπŸ˜‰

kazizairenepaul (@irenepaul001)

Unataka kupata Habari za Uhakika, Matukio Mbali Mbali ya Serikali Kuu Ya Tanzania Go follow My Kaka @iambaraka
@iambaraka
@iambaraka
@iambaraka ☺️

kazizairenepaul (@irenepaul001)

Wapenzi,MWAKA HUU 2017 nitaanza sha group la wenye natural hair ambapo nitasaidiana na watu mbalimbali katika utunzaji wa nywele na ngozi zetu KWA UJUMLA kwa kutumia vitu natural tu,kuanzia mwezi wa pili nitakuwa nimeshaanza rasmi ambapo tutakuwa na videos na products ambazo ni za natural,hii ni kwa wale WATAKAOPENDA hasa wanaotaka kuanza au kuendelea kuwa na natural hair na urembo wa ngozi zao asili BILA KEMIKALI☺️stay tuned.

kazizairenepaul (@irenepaul001)

Am very good at being ME,the rest deal with it#2017#mama Wendo-Isabel.

kazizairenepaul (@irenepaul001)

Dear God 2016 was good,nibariki 2017 iwe zaidi☺️HAPPY NEW YEAR TO YOU AND YOUR LOVED ONE😘😘
More...