Ommy Clayton (@omaryclayton) [similar]

Film Actor From East Africa Tanzania Director|Editor|Writer Award Winning🏆Best Actor Activist:Dreamer:Man On Mission

Ommy Clayton (@omaryclayton)

Sometimes kama binadamu unaingiwa moyo wa huruma...Mpaka machozi yamenitoka for really...ni moja kati ya watu waliotumikia 100% mpaka ushindi kupatikana...mpaka kupata ajali kukaribia kifo...lakini leo hivi kweli..Daah

Ommy Clayton (@omaryclayton)

Ukiwa mkweli uwezi kufeli..🙌

Ommy Clayton (@omaryclayton)

Be Better and do Better than Them..🙏

Ommy Clayton (@omaryclayton)

Wenda siku Yataisha..🙏

Ommy Clayton (@omaryclayton)

Nazidi kushukuru mungu zaidi my film SHAKIRA.. tayari ipo kwenye hatua ya semi final kwenye tuzo za CCBC AFRICANA STUDIES INDEPENDENT FILM FESTIVAL zinafanyika United state of America.

Ommy Clayton (@omaryclayton)

Maisha kweli ni vita..unamueshimu mtu kama mtu kama ndugu..kumbe anaumia na kukujengea chuki Huku anapigana vita nawe ukiwa ujui..anaumia tu anavyokuona unavyotaka kusogea hatua ya pili.. inauma mpk ujui la kufanya!!..mungu nisimamie peke yangu siwezi

Ommy Clayton (@omaryclayton)

Hata usipo nipenda kwa fikra zako chakavu...ukiondoka nitaumia but nitakupa neno bye bye....

Ommy Clayton (@omaryclayton)

Mimi na Masheeikh wenzangu tunawatakia ijumaa kareem..⭐️

Ommy Clayton (@omaryclayton)

New video #loading.......... Song: UTAMU
Artist: SHEBBYLOV
Director:PIZZO MTENA
Date counted soon inshallah @officialshebbylove @pizzomtena123

Ommy Clayton (@omaryclayton)

Tusipo pendana wenyewe Atatupenda nani..

Ommy Clayton (@omaryclayton)

Have a Good Morning IG..👋

Ommy Clayton (@omaryclayton)

Ishi kwa kutabasamu...♥️

Ommy Clayton (@omaryclayton)

Upendo ndo kila kitu

Ommy Clayton (@omaryclayton)

Happy belated birthday @lamataleah 🎂🎂🎂 mungu akuongeze vyema utimize kila ulipangalo🙏 uishi miaka mingi heri na baraka!! nakupenda my sister @lamataleah enjoy ur day🎁

Ommy Clayton (@omaryclayton)

Unaweza ukapenda lakini kukawa na shari kubwa na wewe..Pia unaweza ukachukia lakini kukawa na heri kubwa na wewe.....tumtangulize mwenyezi mungu kwa kila jambo🙏
#ijumaakareem

Ommy Clayton (@omaryclayton)

Usubuhi njema IG..
More...